Mlo Wa Ubongo Wako Wikiendi Hii: Jinsi Ya Kujenga, Kutunza na Kuboresha Uwezo Wako Kiakili
Kila wikiendi huwa naandika “uzi Wa Twita” yaani Twitter Thread, kwa kimombo, nikiongelea ishu mbalimbali.
Sasa una fursa ya kusoma “nyuzi hizo za Twitter” pasi haja ya kuwepo Twitter. Mara baada ya kubandika uzi husika, nitabandika uzi kamili (tofauti na vipande vipande vya twiti) kwenye blogu yangu ya “Kulikoni Ughaibuni.”