Mtandao: riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi - Sehemu ya Kumi Na Saba: "Safari ya Kifo"
Hii ni riwaya (fiction) ya kwanza kabisa ya Jasusi. Matarajio ni kwamba riwaya hizi zitapelekea kuchapishwa kwa vitabu pindi zikimalizika.
Riwaya hii ya kwanza inaitwa Mtandao. Na makala hii inakuletea sehemu ya kumi na saba.
Ili kupata mtiririko wa riwaya hii, unashauriwa usome sehemu 16 zilizopita ambazo links zake zipo kwenye makala hii