Mwezi mpya, safu mpya: Ripoti ya kila wiki ya matukio ya ugaidi yaliyojiri sehemu mbalimbali duniani
Kuanzia leo Julai 1, 2023, kijarida hiki cha Barua Ya Chahali kitakuwa kikichapisha ripoti ya kila wiki ya matukio ya ugaidi yaliyojiri sehemu mbalimbali duniani.
Ifuatayo ni ripoti ya matukio yaliyojiri wiki iliyoanzia Juni 22, 2023 hadi Juni 28, 2023