Mwezi mpya. Safu mpya.
Sio moja.
Sio mbili.
Bali SAFU TATU.
Safu hii ni ya SEMA USIKIKE.
Kuna kero ungependa kuiweka hadharani (mfahamishe mhariri usipotaka jina lako lifahamike)?
Una malalamiko?
Una maoni/ushauri/pongezi?
Una tatizo/shida na unahitaji msaada (kwa mfano kwenye taasisi za umma)?
Ungependa kukutanishwa na mtu flani lakini imeshindikana?
Huu ni …