Mwezi mpya, safu mpya TATU: ya tatu ni safu ya #SundayReading [machapisho muhimu, hususan ya kiintelijensia]
Mwezi mpya. Safu mpya.
Sio moja.
Sio mbili.
Bali SAFU TATU.
Safu hii ni ya SUNDAY READING.
Hapa kutakuwa na chapisho moja la kiintelijensia kila Jumapili. Nyakati nyingine kutakuwa na machapisho yasiyohusiana na intelijensia lakini yenye faida kwa jamii.
Huu ni uwanja wako. Cha kufanya, jiunge kuwa mwanachama wa kulipia (paid subscriber) hapa kwenye kijarida au ku-subscribe huko Instagram, na utanufaika na machapisho haya muhimu.
Karibuni sana.
Link ipo hapo chini