Nchi Zinazopambana Dhidi Ya UVIKO-19 Kwa Uwazi Zina Nafasi Nzuri Ya Kufufua Uchumi
Jana usiku nilikuwa naangalia kipindi cha runinga cha Hard Talk cha BBC ya hapa Uingereza ambapo mhojiwa alikuwa Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya India Raghuram Rajan (pichani).
Huyu ni mmoja wa wachumi wanaoheshimika duniani. Kilichonifanya niandike makala hii ni swali aliloulizwa kuhusu mustakabali wa uchumi wa nchi mbalimbali pindi janga la UVIKO-19 …