Ngoma Inogile: Bashite Kufikishwa Mahakamani Desemba 3.
HATIMAYE Paulo Christian Makonda, ameburuzwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kinondoni, jijini Dar es Salaam, kujibu mashitaka ya jinai yanayomkabili.
Mwanasiasa huyo aliyetikisa katika utawala wa awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli, ametuhumiwa kwa makosa mbalimbali, ikiwamo kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds cha Dar es Salaam, Machi mwaka…