"Nimekuwa 'Yesu Kristo' kwenye Twitter kwa miaka 14 - na shukrani kwa Elon Musk, sasa nimethibitishwa." 🤔
Jasusi anafuatilia kwa karibu “yanayoendelea” huko Twita, kufuatia bilionea Elon Musk, mtu tajiri kuliko wote duniani, kuununua mtandao huo wa kijamii. Kama unahitaji kufahamu zaidi kuhusu ishu hiyo, pitia makala hii
Au waweza pia kusoma chapisho hili la Jasusi kwenye gazeti bora kabisa la PAMBAZUKO