Pole Mheshimiwa Zitto Kwa Kutukanwa kwa "Kosa" La Kumuomba Mama Samia Asaidie Kuachiwa Mbowe, Pole Pia Mama Samia Kwa Mvua Ya Matusi Ulomwagiwa Jana. Asanteni wana-Chadema Kwa Matusi Yenu Kwangu
Jana haikuwa siku nzuri kwa tunaotamani kuona Tanzania yetu ikiwa haina siasa za chuki. Lakini tatizo halikuanza jana as such, bali juzi.
Hiyo juzi, baadhi ya waungwana waliojaribu kushauri kuwa ingekuwa vema kwa Chadema kuhudhuria mkutano wa vyama vya siasa ulioanza jana huko Dodoma, walimwagiwa mvua ya matusi.
Nilisikitishwa kuona mwanahabari mmoja amb…