Rais Samia ateungua uteuzi wa Diwani Athumani kuwa Katibu Mkuu Ikulu. Kisa? Taarifa hii ya kijasusi inaeleza kwa undani
Rais Samia Suluhu ametengua uteuzi wa Diwani Athumani Msuya kuwa Katibu Mkuu wa Ikulu.
Utenguzi huo unakuja siku mbili tu baada ya Rais Samia kumuondoa Diwani katika nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, ambapo badala yake ameteuliwa veterani wa taasisi hiyo, Said Masoro.
Makala hii fupi inaeleza kwa kina kilichopelekea Diwani kutumbuliwa