Ripoti kuhusu Dkt Mpango: wakati taarifa zinaeleza kuwa amerudi salama, mtu aliyetangaza "Makamu amefariki" huko Insta, ageuka na kuwalaumu wanaharakati, wapinzani kwa "uzushi" huko Twita
Hatimaye utata kuhusu “ukimya” wa Makamu wa Rais Dokta Philip Mpango, ambao uliambatana na tetesi mbalimbali kuhusu afya yake, unaelekea kumalizika.