Rostam Aziz aeleza jinsi wawekezaji uchwara wanavyoongeza umasikini Tanzania, ataja Wachina wanaouza simu mtaani, wamwaga mashine za kamari vijijini kula mapato ya wanavijiji
Mfanyabiashara maarufu, bilionea Rostam Aziz ameeleza kwa kirefu masikitiko yake jinsi wawezekezaji uchwara wanavyoongeza umasikini nchini Tanzania hususan maeneo ya vijijini.