Rostam vs Membe, Na Jinsi Jiwe Anavyojikaanga Kwa Mafuta Yake Mwenyewe
Jicho La Kishushushu Kuhusu Yanayojiri Chini Ya Kapeti la Siasa za Urais 2020
Kwanza, naomba samahani kwa kuchelewa kukuletea toleo la wiki hii la #BaruaYaChahali. Natumaini uliipokea kunradhi yangu niliyokutumia juzi.
Mada ya wiki hii ni siasa, lakini ni fupi tu. Inalenga kukusaidia kuelewa "yanayojiri nyuma ya pazia" kwenye duru za siasa za Tanzania.
Natumaini kuwa ulimsikia mfanyabiashara tajiri mkubwa, Rostam Aziz, "swahiba…