Safu ya AFYA: Fahamu kuhusu PrEP, dawa inayotumika kuepusha maambukizi ya virusi vya Ukimwi
PrEP ni nini na inatumika vipi kuepuka maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU)?
Katika vita dhidi ya janga la VVU njia kadhaa za kuzuia hutumiwa. Moja ni utumiaji wa dawa za kupunguza makali ya VVU kama pre-exposure prophylaxis (PrEP).
PrEP ni nini?
Pre-exposure prophylaxis au PrEP ni matumizi ya dawa za kupunguza makali ya VVU na watu wasio na VVU ili kuzui…