Polisi ilithibitisha jana Jumatatu kwamba maafisa wake wamevamia nyumba huko Los Angeles , Miami na New York ambazo vyombo vya habari vya ndani vimeripoti kuwa ni za rapa nguli Sean "Diddy" Combs.
Habari za NBC na vituo vya ndani huko Los Angeles na Miami viliripoti shughuli hiyo katika makazi ya Combs Jumatatu. Polisi walikuwa wakifanya upekuzi katika m…