Safu ya Burudani na Michezo: Ronaldo na mastaa wenzake katika soka la Saudi wadaiwa "kuchukia kila dakika" ya uwepo wao huko, idadi ya watazamaji bado ni kiduchu
SAUDI ARABIA imefanikiwa kuandika historia katika soka duniani kufuatia ligi ya taifa hilo tajiri kuweza kuwavutia mastaa mbalimbali kama vile Cristiano Ronaldo na Neymar.