Safu ya #MAISHA [Episode 13]: Mfahamu Joel Nanauka (@jnanauka), kutoka mwanafunzi bora kitaifa (Tanzania one) hadi kocha bora kabisa wa sayansi ya maisha (life coach) na mwandishi wa vitabu 40
Joel Arthur Nanauka ni mwalimu anayefundisha sayansi ya maisha (Certified Life Coach), mkufunzi wa mashirika mbalimbali ndani na nje ya Tanzania kwenye eneo la Uongozi na Biashara na mwandishi wa vitabu 40 vya kusaidia watu kuwa na maendeleo yao binafsi (Personal Development).