Safu ya #MAISHA [Episode 6]: Mfahamu Ndugu John Ulanga (@JohnUlanga), Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF)
Kama ni mtumiaji wa mtandao wa kijamii wa Twitter basi bila shaka utakuwa umekutana na lundo la pongezi kutoka kwa taasis mbalimbali nchini Tanzania, zikimpongeza Ndugu John Ulanga baada ya kuteuliwa kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania, chombo kikuu cha Sekta Binafsi nchini Tanzania, mapema mwezi uliopita.