Safu ya MAISHA [Episode 3]: Mfahamu Benjamin Fernandes (@Benji_Fernandes), Mtanzania wa kwanza kusoma Harvard na Stanford kwa wakati mmoja, na mwanzilishi wa kampuni ya kutuma miamala duniani ya NALA
Benjamin Fernandes (aliyezaliwa 25 Novemba 1992) ni mjasiriamali kutoka Tanzania na mtangazaji wa zamani wa televisheni ya taifa. Alifanya kazi katika Wakfu wa Bill na Melinda Gates nchini Marekani katika Timu yao ya Dijitali na timu ya Huduma za Kifedha.
Benjamini ni Mtanzania wa kwanza kuhudhuria Shule ya Uzamili ya Chuo Kikuu cha Stanford kama Mshiri…