Safu ya TEKNOLOJIA: Mtandao wa kijamii wa Threads waja na features mbili muhimu - ujumbe wa sauti na ku-edit posts
Mtandao wa kijamii wa Threads umetangaza features mbili muhimu katika jitihada zake za kutanuka zaidi. Threads, iliyoanza kwa kishindo kikubwa na kufanikiwa kusajili watumiaji wapya zaidi ya milioni 100 ndani ya siku moja, imedorora mno kutokana na ufinyu wa features mbalimbali muhimu.
Threads ilitarajiwa kuwa kimbilio kwa watumiaji wa mtandao wa kijami…