Safu ya UCHUMI: 'Bosi wa ChatGPT' Sam Altman atimuliwa kwenye kampuni ya akili mnemba ya OpenAI aliyoshiriki kuianzisha, ni baada ya bodi kupoteza imani nae
Sam Altman, mkuu wa kampuni ya akili mnemba (artificial intelligence) ya OpenAI, amefukuzwa na bodi ya kampuni hiyo, ambayo ilisema imepoteza imani na uwezo wake wa kuiongoza kampuni hiyo.
Bodi hiyo ilisema Bw Altman hakuwa "mkweli mara kwa mara na mawasiliano yake", na kuzuia uwezo wake wa kutekeleza majukumu yake.
Mtengenezaji wa Boti ya ChatGPT, OpenAI…