Safu ya Uchumi: jihadhari na 'Ponzi Scheme' -upatu haramu unaoendeshwa na mtu au kikundi fulani cha watu kwa kuwadanganya kuwapatia wachangiaji faida kubwa baada ya muda mfupi
Nini maana ya “Ponzi Scheme” a.k.a “Pyramid Scheme”
“Ponzi schemes” au upatu haramu ni mpango au mchezo wa kuchangisha fedha unaoendeshwa na mtu au kikundi fulani cha watu kwa kuwadanganya kuwapatia wachangiaji faida kubwa na kwa kipindi kifupi. Mipango hii imekua kivutio kikubwa kwa wachangiaji kutokana na ahadi ya malipo ya faida kubwa na kwa muda mfup…