Sehemu ya kwanza na ya pili kwa pamoja: Kifahamu kikosi cha Idara ya Usalama wa Taifa kinachohusika na ulinzi wa viongozi (PSU)... na jinsi ya kujiunga
Awali makala hizi zilikuwa mbili tofauti, lakini sasa zimeunganishwa na kuwa makala moja ili kurahisisha jinsi ya kuzisoma.