Shirika la Kimataifa la Haki za Binadamu ladai wapinzani wa mkataba wa bandari nchini Tanzania wakamatwa
(Nairobi) – Mamlaka ya Tanzania imewashikilia au kuwatishia takriban watu 22 tangu Juni 10, 2023, wakiwemo waandamanaji, baada ya kukosoa Bunge la Tanzania kuridhia kwa makubaliano ya usimamizi wa bandari za Tanzania, Human Rights Watch ilisema leo.
Mkataba huo ungeruhusu kampuni ya usafirishaji inayodhibitiwa na Imarati ya Dubai katika Falme za Kiarabu …