Si unafiki kwa Chadema kufanya kikao cha siri na CCM hapo jana, hiyo ni 'realpolitik.' Unafiki ni Chadema kuidhihaki ACT-Wazalendo inapokaa kitako na CCM.
Gazeti la Mwananchi liliripoti jana kwamba viongozi wakuu wa Chadema ikiwa ni pamoja na Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Mheshimiwa Freeman Mbowe, walifanya kikao cha siri na viongozi wa juu wa CCM akiwemo Makamu Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana.
Kabla ya kuendelea na makala hii, ni vema kuweka hapa habari husika
Nin…