Siasa Kidogo, Kisha Nikupe "Maujanja"
Kwanza naomba radhi kwa kuchelewa kuwatumia #BaruaYaChahali. Hiyo ikitokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu.
Pili naomba kutumia fursa hii kuwatakia swaum njema nyote mnaoendelea na mfungo katika Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan.
Twende kwenye mada. Wiki hii kijarida hiki kina sehemu mbili. Kwanza ni siasa kidogo, kisha sehemu ya pili ni darasa fup…