Taarifa kuhusu kozi ya BURE ya Open Source Intelligence #OSINT kwa lugha ya Kiswahili
Masomo ya wiki hii katika kozi ya Open Source Intelligence #OSINT kwa lugha ya Kiswahili yatawajia Jumamosi badala ya leo. Hii ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa mkufunzi.
Unaweza kupitia somo la kwanza, pili na la tatu hapa
Na somo la nne na la tano hapa
TANGAZO