Taarifa ya kiintelijensia: Rais Samia awaondoa wakurugenzi kadhaa wa Idara ya Usalama wa Taifa, wateuliwa kushika nyadhifa nyingine nje ya taasisi hiyo nyeti
Rais Samia Suluhu jana amewaondoa wakurugenzi kadhaa wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Rais Samia Suluhu jana amewaondoa wakurugenzi kadhaa wa Idara ya Usalama wa Taifa.