Tahadhari: Deni la Taifa la Tanzania lapanda kwa Shilingi trilioni 6.9 kwa mwaka mmoja na kufikia Shilingi trilioni 93.4 (Dola bilioni 40.6)😯
Tangazo: kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa Jasusi, mfululizo wa makala kuhusu Ujasusi utaendelea haukuchapishwa jana na badala yake utachapishwa Jumamosi ijayo.
Dar es Salaam . Wataalamu wa masuala ya uchumi wameeleza kusikitishwa na ongezeko la deni la taifa huku wakionya kuwa hali hiyo si nzuri kwa uchumi iwapo fedha zilizokopwa hazitatumika k…