Tahadhari Kuhusu Matapeli Wanaopiga Simu Kisha Kuongea Lugha Isiyoeleweka, Ukiwapigia Simu Inakorofisha. Namba Mojawapo Ni 0620657747 (Halotel) Jina Sitta Nghabi Mbasha
Naomba nimnumkuu dadangu ambaye ametokewa na mkasa husika. Amenieleza kuwa amesikia pia watu wengine wakiwa wahanga wa uhuni huo ambao yaelekea unahusisha udukuzi wa simu husika
Kuna huu mtindo umeingia mtu anakubip mara nyingi mpaka unaamua kumpigia au anakubip mara moja kisha anakupigia halafu ukipokea anakuongelesha kwa lugha ambayo siyo kiswahili wal…