Tanesco Inahujumiwa. January Makamba Anahujumiwa. Mama Samia Pia Anahujumiwa "By Proxy."
Kwamba Tanesco inahujumiwa sio suala linalohitaji mjadala. Labda tunachoweza kujadili - na sio hapa - ni upana/ukubwa wa hujuma husika.
Kujadili upana wa hujuma dhidi ya Tanesco kunahitaji makala ndefu, pengine kijitabu kabisa. Hilo linawezekana, lakini kwa faida ya nani? Niwe mkweli, kadri siku zinavyokwenda, nahisi kama hizi kelele zetu wengine kupitia…