Tathmini ya kiintelijensia: FURSA na CHANGAMOTO kwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa Ndg Selemani Mombo [Sehemu ya Pili: CHANGAMOTO]
Juzi, Rais Samia Suluhu alimteua Ndugu Selemani Mombi kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa (DGIS) kuchukua nafasi ya Balozi Ali Siwa ambaye ilielezwa kwamba amestaafu.
Jasusi aliandika jana uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu tukio hilo zito
Na jana, Jasusi alichapisha sehemu ya kwanza ya makala hii iliyohusu fursa kwa Ndugu Mombo
Sehemu hii ya pili inahusu changamoto mbalimbali zinazomkabili mkuu huyo mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa