Tathmini ya kiintelijensia: FURSA na CHANGAMOTO kwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa Balozi Ali Siwa [Sehemu ya Pili: CHANGAMOTO]
Majuzi, Rais Samia Suluhu alimteua Balozi Ali Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa kufuatia kutumbuliwa kwa aliyekuwa anashika nafasi hiyo, Saidi Masoro.
Kufahamu sababu zilizopelekea Masoro kutumbuliwa, soma uchambuzi huu wa kiintelijensia
Tathmini hii yenye sehemu mbili ilianza jana, ambapo sehemu ya kwanza ilitathmini FURSA kwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa, Balozi Ali Siwa. Soma tathmini hiyo hapa
Shehemu hii ya pili inatathmini CHANGAMOTO kwa Balozi Siwa katika wadhifa wake huo mpya. Na zipo lukuki