Ili kufaidika na tathmini hii ya kiintelijensia, ni vema ukasikiliza kwanza mahojiano kamili hapo juu.
Pamoja na mambo mengine, tathmini hii inaangalia
Tuhuma dhidi ya Wenje.
Utetezi wa Wenje.
Uzito wa hoja katika maelezo ya Wenje.
Udhaifu wa hoja katika maelezo ya Wenje.
Kosa moja kubwa la Lissu.
Endapo jana ni mwanzo na mwisho kutoka kwa Wenje au kuna mengine yaja.
Hatari kwa Lissu.
Mtaji kwa Lissu.
Muhtasari
Mahojiano yalijikita kumuuliza Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria, Hezekia Wenje, kuhusu tuhuma zilizoelekezwa kwake na Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho, Tundu Lissu, ambaye sasa anawania nafasi ya uenyekiti taifa.