Tathmini ya kiintelijensia kuhusu fursa na changamoto kwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa, Said Masoro [Sehemu ya Pili: Changamoto]
Jumanne Januari 3, Rais Samia Suluhu alimteua Said Masoro kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Masoro aliteuliwa kushika nafasi hiyo nyeti kabisa kufuatia mtangulizi wake, Diwani Athumani, kuondolewa na kupewa nafasi ya Ukatibu Mkuu Ikulu.
Hata hivyo Diwani amekataa nafasi hiyo.
Juzi kijarida hiki kilichapisha sehemu ya kwanza ya tathmini hii
Sehemu hii ya pili na ya mwisho, inaangalia changamoto kwa DGIS Masoro