Tathmini ya kiintelijensia: Malumbano kuhusu Muungano; Tuhuma kwamba kuna waliopokea fedha Chadema kuhujumu chaguzi zao; Njama dhidi ya usalama wa Mh Lissu
Tathmini hii ya kiintelijensia inaangalia masuala matatu muhimu
Malumbano makali yanayoendelea kuhusu suala la Muungano
Tuhuma kwamba kuna fedha zimemwagwa Chadema ili kuhujumu chaguzi cha ndani za chama hicho
Tetesi za kuaminika kuhusu nia ovu dhidi ya usalama wa Mheshimiwa Lissu