Tathmini ya kiintelijensia: mustakabali wa 'tuhuma za uhaini' dhidi ya akina Dkt Slaa, uwezekano wa mabadiliko baraza la mawaziri/uongozi wa juu CCM [Audio/Video]
Tathmini hii ya kiintelijensia inahusu masuala mawili. La kwanza ni mustakabali wa “kesi” dhidi ya Dkt Willibrord Slaa, wakili Boniface Mwabukusi na mwanaharakati Mdude Nyangali.
La pili ni uwezekano wa mabadiliko kwenye baraza la mawaziri la Rais Samia Suluhu na/au kwenye kada za juu za uongozi wa CCM
Tangazo: Pata mwezi mmoja wa bure kutumia app hii bora kabisa ya kualamisha (bookmarking) vitu mbalimbali unavyokutana navyo mtandaoni
Ukihitaji access yenye punguzo la takriban asilimia 50 kusoma makala za kulipia, fanya ku-subscribe kwenye akaunti ya Jasusi