TCRA yazuwia VPN "kimtindo", kuwataka watumiaji kuonyesha anwani za IP kunapoteza maana nzima ya kutumia VPN.
Kwa mujibu wa The Citizen
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa agizo kwa watu binafsi na makampuni yanayotegemea Mtandao wa Kibinafsi (VPN) kwa shughuli zao za kutangaza matumizi yao ya VPN na kutoa taarifa zote muhimu, ikiwa ni pamoja na anuani zao za Itifaki ya Mtandao (IP) kwa mamlaka kabla ya mwisho wa mwezi huu.
TCRA pia inawakumbusha umma k…