TEKLA, a love story: Riwaya nyingine kutoka kwa Jasusi...japo hii si ya kijasusi ๐[Sehemu ya Kumi na Saba- "Amka Mama Amka"]
Karibuni kwenye riwaya nyingine kutoka kwa Jasusi baada ya ile ya kwanza ya โMtandaoโ ambayo wengi wenu mmeipokea vizuri. Asanteni sana.
โTekla - a love storyโ ni stori ya kutunga kama ilivyo hiyo ya kijasusi ya โMtandao.โ Kwa vile lengo la Jasusi ni kukuletea simulizi ambazo ukisoma utajisikia kama unaangalia filamu, ni rahisi kudhani kuwa yanayoongelewa ni matukio ya kweli.
Kabla ya kuingia sehemu hii ya kumi na saba ya riwaya hii ya kimahaba, ni vema ukijikumbusha sehemu zilizopita ambazo kwa pamoja zipo katika makala hii
TANGAZO
Kwa walio nje ya Tanzania, vitabu vinapatikana HAPA