TEKLA, a love story: Riwaya nyingine kutoka kwa Jasusi...japo hii si ya kijasusi π[Sehemu ya Tisa - From Addis to Dar with lots of love π]
Karibuni kwenye riwaya nyingine kutoka kwa Jasusi baada ya ile ya kwanza ya βMtandaoβ ambayo wengi wenu mmeipokea vizuri. Asanteni sana.
βTekla - a love storyβ ni stori ya kutunga kama ilivyo hiyo ya kijasusi ya βMtandao.β Kwa vile lengo la Jasusi ni kukuletea simulizi ambazo ukisoma utajisikia kama unaangalia filamu, ni rahisi kudhani kuwa yanayoongelewβ¦