TEKLA, a love story: Riwaya nyingine kutoka kwa Jasusi...japo hii si ya kijasusi ๐[Sehemu ya Kumi na Sita- "Japo Mama Ametutoka Lakini Mie Nipo Nawe"]
Karibuni kwenye riwaya nyingine kutoka kwa Jasusi baada ya ile ya kwanza ya โMtandaoโ ambayo wengi wenu mmeipokea vizuri. Asanteni sana.
โTekla - a love storyโ ni stori ya kutunga kama ilivyo hiyo ya kijasusi ya โMtandao.โ Kwa vile lengo la Jasusi ni kukuletea simulizi ambazo ukisoma utajisikia kama unaangalia filamu, ni rahisi kudhani kuwa yanayoongelewโฆ