Toleo la kwanza kwa mwaka 2024 la gazeti la bure la kila wiki #PAMBAZUKO lipo mtaani leo. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com
Gazeti huchapishwa kila Jumatatu.
Safu ya “Mezani Kwa Chahali” imerejea. Ni Jumatatu hii na kila Jumatatu zijazo