Tuhuma za "chuki dhidi ya Wazanzibari, udini" zisitumike kuepesha mjadala wenye afya kuhusu mkataba "tete" kati ya Tanzania na Dubai wa bandari zetu
Jana haikuwa siki nzuri kwa tunaoipenda Tanzania yetu kwa dhati. Kwa upande mmoja, huko Dodoma, kama ilivyotarajiwa na Barua Ya Chahali awali, waheshimiwa wabunge walipitisha “kwa kishindo” muswada wa mabadhiliko ay Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa 2023.
Jasusi ana uhakika wa asilimia 100 kuwa huko mbeleni, baadhi ya waheshimiwa wabunge walioupitisha…