Tujikumbushe: Uchambuzi Wangu Baada Ya KIPILIMBA Kuteuliwa
Ninaandika kijarida cha kurasa kadhaa kinachohusu uchambuzi wa kina kabisa kuhusu tukio la kihistoria la kutimuliwa kazi Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Bwana Kipilimba.
Ni tukio la kihistoria kwa sababu haijawahi kutokea katika Tanzania yetu, na nimelazimika kuingia deep na kuandika kurasa 30 hadi muda huu, ambapo nakaribia kuhitimisha ki…