Tukio la Kutisha: Wanafunzi 13 wa Sekondari maarufu Dar Wasimamishwa Masomo Baada ya Kukutwa na 'Unga' (Madawa ya Kulevya) 😯
Taarifa za kiuchunguzi zilizokifikia kijarida hiki cha Barua ya Chahali jana zinaeleza kwamba wanafunzi 13 wa shule moja ya sekondari jijini Dar es Salaam wamesimamishwa masomo baada ya kukukwa na madawa ya kulevya aina ya Cocaine