[Tumia VPN Endapo Link Haifunguki] Uchambuzi Wa Kiintelijensia Kuhusu Urais Kwa Tiketi Ya Chadema: Nafasi za Mbowe,Lissu,Msigwa, Nyalandu Zikoje?
Kuna sehemu moja tu inayoweza kukidhi kiu yako ya uchambuzi wa kina kuhusu takriban kila linalohusu Uchaguzi Mkuu ujao, wagombea na nafasi zao, siasa za wazi na za siri ndani ya vyama vyao, mtazamo wa wanachama na wananchi kwa ujumla. Sehemu hiyo ni kijarida hiki cha #BaruaYaChahali.
Kabla ya kuingia kwenye uchambuzi husika, naomba msaada wako katika dha…