[#TumiaVPN] Dear Mama Samia, Ulikuwa Mhanga wa Ukatili wa Magufuli Kabla Ya Lissu. Leo Wewe Wa Kuongea Upoloto Huu Kuhusu Jaribio La Kumuua Lissu? Shame On You!
Sikuwahi kudhani kama kuna siku ningelazimika kusimulia unyama aliofanyiwa huyu mama kwa sababu deep in my heart nilimuona kuwa ni mwanasiasa mstaarabu, ambaye mazingira tu yamemlazimisha kuwa makamu wa Magufuli, Rais katili asiyethamini uhai wa mwanadamu.
Lakini kwa uhuni huu aliofanya huyu mama kwenye kampeni, bora tu kuweka ukweli hadharani hata kama…