[#TumiaVPN] Jasusi Wako Amekuwa Akitahadharisha Kuhusu Usalama Wa Lissu TZ. Na Sasa Mwanasheria Wa Ughaibuni wa Mwanasiasa Huyo Aiandikia Serikali Kuhusu Suala Hilo
Jasusi wako ametanabaisha mara kadhaa kuwa hadhani kuwa ni salama kwa Mheshimu Tundu Lissu kurudi Tanzania muda huu. Hapana, simaanishi asitudi nyumbani kugombea urais wala simaanishi aishi huku ughaibuni milele. Ninachoeleza ni mtazamo wangu sio tu kama “jasusi” bali mtu ambaye “naishi roho mkononi.”
Jana nimeona twiti ya wakili wa Lissu akirejea kitu h…