Tuongee kidogo
Pengine “makala” hii itakuwaza kama wewe ni mlengwa, lakini ukweli una tabia moja kuu - kutouongea hakuufanyi uwe uongo.
Jana nilikuwa napitia takwimu za idadi ya wanaofungua baruapepe ninazowatumia vijarida. Kwa kweli takwimu zinavunja moyo mno.
Idadi ya mliojisajili mwanzoni ilikuwa zaidi ya watu 2,000. Baada ya kuwatumia baruapepe mara 10 nikafanya t…