Changamoto zinazoukabili mtandao wa kijamii wa Twita tangu ununulie na bilionea Elon Musk ni kubwa zaidi ya ilivyofahamika awali. Kwa mujibu wa takwimu mpya, zaidi ya nusu ya watumiaji wa mtandao huo waliolipia huduma ya malipo inayofahamika kama “Twitter Blue” wamejiondoa kwenye ulipaji.
Tangu Elon alipoanzisha Twitter Blue mwezi Novemba mwaka jana, ni …